NEIVA...
Kocha Msaidizi wa Yanga, Leonardo Neiva naye yuko njia moja kurejea kwao.
Taarifa za uhakika zinaeleza, Neiva anaondoka na nafasi yake itachukuliwa na Boniface Mkwasa.
Usiku kumekuwa na kikao kizito cha viongozi wa Yanga kujadili mustakabari wa Wabrazil hao.
"Ni kweli Neiva ataondoka, hilo suala limejadiliwa. Maana anatakiwa Mkwasa kuja kuziba nafasi yake," kilieleza chanzo.
"KUNA asilimia nyingi kocha Pluijm, lazima atataka kufanya kazi na Mkwasa."
Post a Comment