DÉRANGEMENT
ukweli ni kwamba wachambuzi wa maswala ya muziki nchini congo,tanzania na africa nzima kwa ujumla wamefanya tafiti na kugundua kuwa ferre gola ni mwanamuziki ambaye anatakiwa aheshimiwe na werasson
Kwasababu ni jambo la kipekee sana na la kuvutia kuona mtoto wako unamfundisha kitu na baadae anakuwa mtua ayekubalika na jamii hasaile inayokukubali wewe
Hilo limedhihirika ni baada ya tarehe 12-12-2014 Harve bataringe au ferre gola kuachia nyimbo mfululizo ambazo zimekuwa gumzo africa nzima huku werasson akiwa hajasema chochote yaani hamsifii wala hamkosoi ni kwasababu ya mahusiano yao mabaya yanayochochewa na vyombo vya habari kadhalika na wasemaji wao
miezi ya hivi karibuni kumekuwa na maneno maneno sana yakimuhusisha koffi olomide,Jb mpiana,werasson,fally ipupa na ferre gola ambaye kwa sasa nyota yake inawaka duniani kote
malumbano hayo yamegawanyika kati ya mtu na mtulakini ni katikacheni hiyo hiyo yawanamuziki hawa
Werrrasson na koffi olomide ugomvi wao ni muda mrefu sana ni pale ferre golana kina JDT mulopwe walipoamua kujiondoa katika kundi hilo la werasson na kuundakundi lao ambapo katika vijana wa werasson wa miaka hiyo aliyekuwa akiendwa sana ni ferre gola,kwa hiyo kitendo cha ferre golakuondoka kilimuudhi sana werason maana alikuwaakimtegemea kwa sauti yaje nzuri sana
Hasira zawerason zilikuja kupandazaidi ni pale iliodhihirika kuwa mopao amemnunua ferre kwa dolaa elfu 25
hilo bifu limeendeleakuwepo hadi baada ya ferrekujiondoa kwa mopao lakini ferrenamopao mpaka leo hawajawahi kugombana
kwaupande wa mopao na jb mpiana unamuhusisha mke wa jb mpiana hamida shatir mama ya bana ya Jb mpiana
Mke wa jb mpiana aliondoka kwa mumewe nakwenda kufunga ndoa natajiri mkubwa congo didi kinuani na mwisho wa siku wakazaa mtoto mmoja wa kiume lakini mungu alipanga hamida aishi na jb mpiana ,kilichotokeahuko kati ya hamida na jb mpiana mimi na wewekiundani kabisahatukijui ila alirudi kwa jb mpiana akiwa na mtoto wa didi kinuani nampaka leowanaishi kwa furaha zaidi
Na wakatiwa harusi ya hamida na didikinuani werasson aliitwa kutumbuizalakini alikataa na urafikiwa wera na jb ni kutoka enzi hizo za wenge musica4 by 4 kikosi kilichokuwa na wanamuziki machachari kweli kweli
kwa upande wa fally ipupa na ferre gola inasemwa tu lakini haina uhakikaasilimia mia moja eti waligombania dem lakini ni habari za kuhisiwa tu hazina uhakika asilimia mia mojanaukweli ni kwamba wanachekeana lakini si kutoka moyoni wanachekeana vijino pembe tu
MGAWANYIKO
Fally ameamuakuwa upande wa werasson na jb mpiana wakati ferre gola na swahiba wake mwanamuziki mkubwa pia aitwaye fabrice fabragas wao wapoupande wa mopao
KILICHOFUATA
Matusiya nguoni kati ya mopao werasson na jb mpiana ambapowasemaji wao wakipita kwenyetv mbali na kuanzakutukana na matusiya nguoni hadi kuhusisha familia zao na hali ya hewailichafuka kiasi kikubwa
Machafuko hayo yaliyochochewa na wasemaji wakiongozwa na msemaji wa werasson sakaradenkuta na kwa upande wa mopao yaliongozwa na Kisi ndjora dada ya aliyekuwa mwanamuziki wa mopao babia ndonga chokoro
MATOKEO YA MACHAFUKO
Wasemaji wao walikuwawakitiwa ndani kila kukicha
MEYA ATOA ONYO KALI
Kwa atakayepita katika tv na kuongeavibaya atachukuliwa hatuankali zakisheria na ndicho kilichofuata wasemaji waliipinga ile kauli wakajaribu na wakatiwandani na mmoja wa mwisho aliyefuatia kutiwa ndani baadayakisi ndjora ni msemaji wa upande wa jb mpiana ambaye alitiwandani kwa wiki nzima kwa kumsema vibaya mopao
MAJINA MAPYA
MOPAO akapewajiana la Vie Ebola huku Jb Mpiana akipewa jina la PAPA SIDA yaani BABA UKIWMI eti JB alitemebeana mcheza show wake ambaye alikufa kwa ukimwi na akataka kujiua mopao ndiyo aliyemshihi asijiue mpaka akazowea mazingira hayo ni maneno yanasemwa na pande mbili mabapo walipigwa marufuku
UCHAWINAUSHIRIKINA
WERASSON anaambiwa ni mshirikina kwa kuwa kila anapotakakutoa album huwa mmoja wa wanamuziki wake mmoja lazima afe
Katikahatua za awaliza kuipromo album ya werasson fleche ingeta mwanamuziki kipenzi cha werasson kitambala alianguka ghafla wakiwa mazoezini na akafariki dunia
Na kabla ya kitambala alishawahi kuanguka rapper wake bercy muana lakini yeye hakufa
ndugu wa kitambala walkuja juu sana na kwa kitendochawera kuttoa taarifakwa nduguwakitambala waliyoufaransa badala ya kuwapa taarifa waliyoko kinshasa lakini hiyoilipita
UCHAWIKWA JB MPIANA
NA akijiandaa kuachiaalbum yake msemaji wake wa karibu katika band yake alianguka nakukaribia kufa ikasemwa na yeye alitaka kumuua lakini imeshindikana
Na kwa upande wa werasson anaitwa vie jaloux mzee mwenye wivu baada ya kumchukulia wanamuziki wake watatu bercy muana,nicodem na r.kelly
MUZIKI WAO 2014
Muziki wao umekuwa na hisia tofauti kwa mashabiki wao kilashabiki ana hamu ya kuosikia na kuonavideo nzuri kutoka kwa mwanamuziki wake
lakini wanaotikisa no ferregola na werasson kwani ndiyo wapo juu kwa sasa
Ferre gola amekuwa wa kwanza kuachia nyimbo za album yake mpya ameachia nyimbo tatu mfululizo sebene mbili na rhumba moja kali sanaaaaa
WACHAMBUZI WA MUZIKI AFRICA WANSEMAJE
WANASEMA Ferre Gola ni jasiripamoja na kuchukuliwa wanamuziki na werasson lakini bado ameweza kuwa juu nakutoa nyimbo ambazo zinamuumiza kichwa werasson ambaye hajui afanyeje na amekuwa kimya
Ferre gola ni kama YESU MASIHA kwa kutukanwa lakini ahajwahi kujibu amefanya kazi na leo hii hapa inaonekana yupo juu kweli kweli
BIG UP FERREGOLA KWAKUWA MFANO BORA WAKUIGWA
TAZAMANYIMBO TATU SEBENE MBILI NA RHUMBA MOJA KUTOKA KWA MTAALAMU WA MUZIKI AFRICA MWENYE SAUTI TAMU FERRE GOLA MOTO YA YAMBO
KITOKO ANA ELENGI PAPA HARVE FERRE GOLA TJR LIKOLO
WANASEMA WERASSON ANA KIBARUA CHA KUMSHINDA FERRE GOLA