Viwango vya kubadilisha fedha za kigeni leo Oktoba 31benki ya NMB
Benki ya NMB imekurahisishia huduma mbalimbali ambapo kupitia simu yako ya mkononi unaweza kujua viwango vya kubalishia pesa nchini, na taarifa ambayo wanakuletea leo ni kuhusiana na viwango vya kubadilishia fedha za kigeni katika matawi yote ya benki ya NMB Tanzania. Viwango hivyo vimeainishwa hapa
Post a Comment