0

Najua kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha ya zamani ya Ommy Dimpoz aliyoipiga Kigoma ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii bila ya idhini yake.

Ommy Dimpoz ni mmoja wa wakali watakaopanda kwenye stage ya Fiesta Jumamosi hii Leaders Dar es salaam, 

Post a Comment

AddThis

 
Top