0
Fedha zinakwenda kwa mwenye fedha, bondia Floyd Mayweather ameshinda zaidi ya dola milioni 1.4 baada ya kucheza kamari.

Mayweather alifanya kufuru dakika chache baada ya kushinda kwa kuwarushia watu.
Alifanya hivyo kwa kuwarushia watu ambao walilazimika kupambana kuzigombea.
Bondia huyo milionea ndiye mwanamichezo anayelipwa aidi.

Post a Comment

AddThis

 
Top