Ni kati ya wale mastaa wa bongo ambao huwa hawapotei kwenye muziki, wapo miaka na miaka na kadri time inavyosogea ndio wanazidi kubadilika inavyotakiwa na kufanya kazi zenye ubora.
Sifa nyingine kubwa ya Shaa ni kazi kubwa ambayo huwa anaifanya akiwa kwenye stage.
Home
»
» Unlabelled
» Mara yako ya mwisho kuona video mpya ya Shaa ilikua lini? katuletea hii… @Shaa_TZ
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment