0

LOGOBI GT ni Group inayojumuisha Vijana wa 5 Waimbaji na madansa, Maskani yao JIJINI PARIS,Ntawataja : Sisi-K ,Norton , Gabana , Cézar , Sylja
Vijana hao hua wanazichanganya Ngoma za kiAfrica yaani Muziki wa Ndombolo,Couper Décaler na huo wa Electro, nakutoa vitu vingine kabisa.
Wamefanya Featuring na FALLY IPUPA wakirudilia Wimbo ” MARIE DO “
Haya!!! Burudika

Post a Comment

AddThis

 
Top