0
Keyshia Cole amejikuta akitumia asubuhi yake jela kwa kupigana na mwanamke wakimgombania C.E.O Wa Cash Money Rapper na mfanya biashara Birdman ambaye inasemekana na mpenzi wake.
Watu wa karibu na Birdman wanasema Keyshia Cole alifika kwenye pati ya Birdman na kumuona mwanamke mwingine akiwa karibu naye na ndio ugomvi ukaanza, wanasema mwanamke huyo amepigwa na kukaruzika usoni. Keyshia Cole amekamatwa kwa kosa la kumpiga mtu na RB Nyingine ya kuendesha gari vibaya.
Amelipa dhamani ya dola za Kimarekani 46,000.

Post a Comment

AddThis

 
Top