0

Ni time yako kusikiliza single mpya ya Dudubaya, msanii mwingine wa longtime kwenye bongofleva ambae jina lake lipo kwenye list ya Wasanii wa bongofleva waliowahi kumiliki Top10 kwa hits kama ‘nakupenda tu’ na ‘mwanangu huna nidhamu’
SASA HATUJUI NA WENYEWE UTABAMBA KAMA ZAMANI NA KUMWEKA HEANI KAMA KIPNDI KILICHOPITA
mAANA HISTORIA INAONYESHA BAADA YA KIPINDI KIREFU DUDUBAYA AMEKUWA AKITOA NYIMBO LAKINI HAZI HIT

Post a Comment

AddThis

 
Top