VIDEO MPYA YA NAY WA MITEGO MR.NEY IMESHATOKA TAZAMA HAPA
Miongoni mwa wanamuziki Tanzania ambao tangu wanaanza kusikika walikua na style ya kuwataja watu moja kwa moja ‘kuwachana live’ Nay wa Mitego ambaye toka wimbo wake wa Itafahamika hadi huu Mr Nay amekua akiwataja.
Baada ya kutoka kwa wimbo huu upande wa audio miezi michache iliyopita ameamua kuachia video yake ambayo kaifanya Kenya na Director wa video hii anaitwa Kevin Bosco Jnr.
Baada ya kuitazama unaweza kuacha maoni yako kwenye comment hapa chini ili BAADAE akipita asome watu wake walichosema.
Post a Comment