0
Miaka kumi baada ya album yake the  =The Documentary kutoka na kubadilisha maisha ya rapper Game, sasa yupo tayari kutoa The Documentary 2 ambayo mpaka sasa amethibitisha kuwa inatoka January 18, 2015 ambayo itakuwa miaka kumi baada ya The Documentary 1 kutoka. Kwenye mahojiano kuhusu kazi hii Game alisema atafanya kazi na producer wake wa zamani ambao ni  Just Blazes, Scott Storches na Dr. Dres.
The Documentary iliuza kopi laki tano ndani ya wiki moja na ilikuwa na rekodi kama “Hate It or Love It” na “How We Do.” alizoshirikishwa 50 Cent.

Post a Comment

AddThis

 
Top