Wazazi na wapenzi wa muda mrefu Angelina Jolie na Brad Pitt wameripotiwa kufunga ndoa jumamosi ya 23 August 2014 kwenye sherehe iliyofanyika Ufaransa na kuhudhuriwa na ndugu,familia na marafiki wachache. Vyanzo vingi vya habari vimeripoti kuwa Familia yao tayari inawatoto sita ambao ni Pax, Maddox, Zahara,Vivienne, Shiloh ,Knox na Angelina na Brad walikutana na kupendana kwenye filamu ya Mr/Mrs Smith na kuanza mahusiano mwaka 2005. Officially walikuwa wachumba mwaka 2012 na huu ni mwaka wa tisa wakiwa kwenye mahusiano.
Ata baada ya kutumiwa mwaliko baba wa Angelina Jolie ‘Jon Voight’ hakuonekana kwenye ndoa ya mtoto wake.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment