KAULI YA NELLY KUHUSU ELIMU YA FLOYD MAYWEITHER NA KWANINI HAWAELEWANI
Pamekuwa na ugomvi wa kutupiana maneno kati ya msanii Nelly na bondia Floyd Mayweather baada ya wawili hawa kuchukuliana wanawake.
Inasemekana Nelly alimtongoza mpenzi wa Floyd Mayweather na kuanza nae mahusiano kabla hajaachana na Floyd.
Kwenye mahojiano na ESPN Rapper Nelly amesema “Hii stori imechukuliwa tofauti sana, Floyd ni mtu asiyependa kuambiwa hapana,
Unajua ni ngumu kuongea na mtu ambaye hajamaliza shule ya Secondari” Flody anazidi kukasirishwa na kitendo cha Nelly cha kumchukua mpenzi wake baada ya 50 Cent kumtania Mayweather kuwa Nelly kamchukua mpenzi wako
Post a Comment