0

 Ufoo Saro baada ya kufanyiwa upasuaji huo.

Muuguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akimpeleka wodini Mwanahabari wa  Kituo cha Televisheni cha ITV, Ufo Saro,  baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondolewa risasi kufuatia kushambuliwa kwa silaha ya moto nyumbani kwa mama yake  Kibamba jijini Dar es Salaam leo na mtu aliyedaiwa ni mchumba wake ambaye pia alimuua mama yake na kisha kujiua na yeye.
Wanahabari wakimpiga picha Ufoo Saro baada ya kuondolewa chumba cha upasuaji.

Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakimsindikiza Ufoo Saro wakati akipelekwa wodini.


Post a Comment

AddThis

 
Top