0

Hospitali ya Muhimbili alipolazwa ufoo saro baada ya kupigwa risasi na mpenzi wake 
 

Mpaka sasa Ufoo Saro bado yuko katika chumba cha upasuaji  baada ya kupigwa risasi na mchumba wake Anteri Mushi usiku wa kuamkia leo ambapo pia alimpiga mama mzazi wa Ufo Saro Anastazia Peter Saro mwenye umri wa miaka 59 aliyefariki hapohapo  na baadae kujipiga risasi mwenyewe na kufa hapohapo, Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Mbezi Luisi


Ufoo Saro kabla hajapigwa risasi

Post a Comment

AddThis

 
Top