huyu dogo ameimba wimbo ambao mpaka sasa ndo unaongoza kwa kusikilizwa na watu mtandaoni.
umesikilizwa na watu zaidi ya elf 51.
Amefunika ngoma zote kali hapa Bongo.Wimbo huo amemchana kaka yake Diamond.Kaelezea maisha yake kabla hajatoka kimuziki.
Swali moja tu la msingi nalotaka kujua kutoka kwake ni Uhusiano wake na Diamond na amekiri kuwa Diamond ni kaka yake wa Damu,Baba moja Mama Tofauti na kadai Diamond kabla hajatoka kimuziki alikuwa anawajali ndugu zake ila kwa sasa hata baba yake mzazi hana muda naye.
Hivyo kadai yote aloimba kwenye huo wimbo ni ukweli mtupu.Ameomba watu kumkumbusha Diamond kukumbuka nyuma,Usuperstar ni maji ya Moto.
Salehe Abdul mdogo wake diamond
Post a Comment