0


Maneno machafu yaliyokuwa yakiandikwa na Rapper Gucci Mane kupitia mtandao wa Twitter dhidi ya wasanii mbali mbali wakubwa yaliwaacha watu wakijiuliza maswali dhidi ya afya ya akili ya Rapper huyo

Baada ya muda Gucci alifuta tweet yake  lakini sasa hivi ameifungua upya na kuanza kutuma tweets zenye kuomba msamaha kwa ndugu, jamaa na marafiki  pamoja na mashabiki wake huku Birdman, Drake na Ricky Ross akiwataja kwa majina.

Gucci pia amekiri kuwa addicted na madawa  ya kulevya aina ya "lean" na kutangaza kuwa atajiunga na "Rehab" mara tu baada ya kutoka jela.

Check hizi hapa chini ni tweets zake za kuombaradhi na kujutia kwa kile alichofanya kwa wasanii wenzake 

Woke up the other day out this hospital bed & I'm so embarrassed & ashamed of my behavior that was brought to my attention. (Cont)

I just wanna man up right now & take this time to apologize to my family, friends, the industry & most of all my fans. I'm SORRY! (Cont)

I've been drinking lean for 10plus years & I must admit it has destroyed me. I wanna be the first rapper to admit (cont)

I'm addicted to lean & that shit ain't no joke. I can barely remember all the things I've done & said. However there's no excuse. (Cont)

I'm currently incarcerated but I will be going to rehab because I need help. I wanna thank everyone that has stood by me (cont)

during this difficult time. Please keep me in your prayers. #GUWOP

I wanna personally apologize to birdman ross & drake. Dem my niggas. I 100% regret my words & actions .


Post a Comment

AddThis

 
Top