0


Basi la Al Sayed baada ya kupata ajali

Watu sita wamefariki dunia na wengine 17 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika eneo la Chinangali two wilayani chamwino Mkoani Dodoma 

Aajli hiyo imehusisha basi la Al Sayed Express lenye namba za usajili T433 BLR YOUTONG lililokuwa likitokea Dar es salaam kuelekea Dodoma baada ya ya kugongana na lori lenye namba z usjili T 102 CGR lenye tela namba T 928 CHR lililokuwa likitokea Dodoma kuelekea Jijini Dar es salaam

Uongozi wa blog hii unawapa pole waliyofikwa na mkasa huu na kuwaombea wapone haraka lakini pia MUNGU azilaze mahala pema peponi roho za marehemu wote peponi aamina...RIP.

Post a Comment

AddThis

 
Top