0
Saa chache zimepita tangu tuingie rasmi mwaka 2015, wapenzi wa muziki wa Nigeria jina la msanii Tiwa Savage sio jina geni kwao.
Muimbaji Tiwa Savage ametueleza kuhusu furaha aliyonayo pamoja na mume wake Tunji TJ Balogun, ameshare na sisi picha aliyopost kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kwa sasa yeye ni mama kijacho; “2015….Just the 3 of US…❤️ #AllGloryToGod” @officialtiwasavage
 Huyu atakuwa mtoto wa kwanza wa Tiwa Savage na mume wake huyo, lakini mumewe tayari ana watoto wawili.

Post a Comment

AddThis

 
Top