0

Kumekuwepo na maneno mengi baada ya staa wa Filamu wa Nigeria Ini Edo kutengana na mume wake Philip Ehiagniwa.
Lakini mwenyewe amefunguka na kusema mashabiki wake wala waandishi wa habari hawapaswi kuzungumzia talaka yake kwa kuwa ni mambo binafsi huku yeye akitumia muda wake mwingi kufanya mambo yake mwenyewe.

Ini Edo akiwa na mume wake Philip Ehiagniwa siku ya Harusi yao
Nataka watu watulie na kufanya mambo yao badala ya kunizungumzia kuhusu talaka yangu,na siwezi kuzungumzia lolote kuhusiana na hilo,ni mambo yaliyopita na tuyaache kama yalivyo,mimi sijali.
Kwa sasa kuna taarifa kuwa baada ya kutengana mume wake yuko katika mahusiano na mwanamke kutoka nchini Ghana.

Post a Comment

AddThis

 
Top