Aliyekuwa kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Pluijm akiongea jambo na baadhi ya watu waliokuja kumpokea
Baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam, Pluijm alisema amefurahi kurudi Yanga SC.
“Nimefanya mazungumzo na Yanga, natarajia kutasaini mkataba na kwenda kupumzika kwanza,”alisema.
REKODI YA PLUIJM YANGA SC
Yanga SC 0-0 KS Flamurtari Vlore (Ziara ya Uturuki)
Yanga SC 2-2 na Simurq PIK (Ziara ya Uturuki)
Yanga SC 2-1 Ashanti United (Ligi Kuu Bara)
Yanga SC 0-0 Coastal Union (Ligi Kuu Bara)
Yanga SC 1-0 Mbeya City (Ligi Kuu Bara)
Yanga SC 7-0 Komorozine (Ligi ya Mabingwa)
Yanga SC 5-2 Komorozine (Ligi ya Mabingwa)
Yanga SC 7-0 Ruvu Shooting (Ligi Kuu ya Bara)
Yanga SC 1-0 Al Ahly (Ligi ya Mabingwa)
Yanga SC 0-1 Al Ahly (Ligi ya Mabingwa. Yanga ilitolewa kwa penalti 4-3)
Yanga SC 0-0 Mtibwa Sugar (Ligi Kuu Bara)
Yanga SC 1-1 Azam FC (Ligi Kuu)
Yanga SC 2-0 Rhino Rangers (Ligi Kuu)
Yanga SC 5-0 Prisons (Ligi Kuu)
Yanga SC 1-2 Mgambo JKT (Ligi Kuu)
Yanga SC 5-1 JKT Ruvu (Ligi Kuu)
Yanga SC 2-1 Kagera Sugar (Ligi Kuu)
Yanga SC 2-1 JKT Oljoro (Ligi Kuu)
Yanga SC 1-1 Simba SC (Ligi Kuu)
Post a Comment