0
Mafuriko yaliyosababisha kifo cha marehemu mtoto Bernard Benjamin.
MTOTO wa miaka sita, Bernard Benjamin ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamunge, wilayani Ilemela jijini Mwanza, amesombwa na mafuriko na mwili wake kukaa siku kumi na tano bila kuharibika.
Tukio hilo lilijiri Desemba 2, mwaka huu kwenye Mto Kenge jijini hapa, maeneo ya Mabatini, Wilaya ya Nyamagana baada ya kujaa maji ambapo marehemu alisombwa na mafuriko hadi pembezoni mwa Ziwa Victoria.
Baba mzazi wa marehemu Bernard, Benjamin David alisema siku ya tukio yeye alikuwa safari na mama wa mtoto alikuwa kazini, watoto walibaki na msichana wa kazi nyumbani.…

MTOTO wa miaka sita, Bernard Benjamin ambaye alikuwa mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nyamunge, wilayani Ilemela jijini Mwanza, amesombwa na mafuriko na mwili wake kukaa siku kumi na tano bila kuharibika.
Tukio hilo lilijiri Desemba 2, mwaka huu kwenye Mto Kenge jijini hapa, maeneo ya Mabatini, Wilaya ya Nyamagana baada ya kujaa maji ambapo marehemu alisombwa na mafuriko hadi pembezoni mwa Ziwa Victoria.
Baba mzazi wa marehemu Bernard, Benjamin David alisema siku ya tukio yeye alikuwa safari na mama wa mtoto alikuwa kazini, watoto walibaki na msichana wa kazi nyumbani.
     mwili wa marehemu  bernad benjamini ukiwa katika jeneza
“Alipiga kelele na wenzake walivyosikia sauti nao walipiga mayowe, mmoja wao alijitosa kwenye maji ili amuokoe lakini kasi ya maji ilimshinda na kujikuta akijiokoa mwenyewe kwa kushika mti, watu wakamuwahi na kumuokoa.
“Tuliutafuta mwili tangu siku hiyo hadi Jumatano ya Desemba 17. Saa 10 jioni mke wangu alipigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni muumini wa kanisa kwetu, akasema kuna mwili wa mtoto umekutwa ufukweni mwa Ziwa Victoria eneo la Miti Mirefu.
mama mzazi wa marehemu bernad akiweka mchanga kaburibi

Post a Comment

AddThis

Top