0
Mwanadada asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha.Stori: Gladness Mallya

MWANADADA asiyeishiwa matukio Bongo, Baby Madaha ameibuka na kutoa kali ya mwaka kwamba anapenda mapenzi kuliko kitu kingine chochote duniani.
Akichezesha taya na paparazi wetu, Baby Madaha alisema ‘hobi’ yake ni mapenzi japokuwa anapenda muziki lakini haifikii jinsi anavyoyapenda mapenzi kwani yanampumzisha akili yake na kumfurahisha moyo wake pia.
“Ukweli napenda mapenzi kuliko kitu chochote ila sipendi kuzinguliwa na wanaume, ninapenda muziki, filamu lakini haviwezi kufikia mapenzi kwani ndiyo kila kitu kwangu na yananipa starehe kuliko kitu chochote hapa duniani,” alisema Baby Madaha.


Post a Comment

AddThis

 
Top