0
Wiki iliyopita Diamond Platnumz alikua na show Mombasa nchini Kenya,show ambayo ilikuwa na wasanii wengine kutoka Mombasa akiwemo Nyota Ndogo na Susumila ambapo taarifa zilizotoka ilisemekana kuwa aliwadharirisha wasanii hao.

Diamond kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika>>’Nimesikikitishwa sana na taarifa zilizoandikwa na chombo cha habari kuwa eti niliwanyanyasa wasanii wenzangu Nyota Ndogo na Susumila’
Kwenye sehemu nyingine ya ujumbe huo Diamond ameandika>>’Ningependa kuwajulisha mashabiki zangu waliokutana na story hizo kuwa sio za kweli ni zenye lengo la kudhoofisha mahusiano yetu mazuri ya wasanii wa Afrika.

Haya ni maneno yake aliyoyaandika.

Post a Comment

AddThis

 
Top