0
Obama akiongozana na mkewe pamoja  na watoto wake wawili Malia pamoja na Sasha waliweza kusherekea tamasha hilo sambamba na watoto wengine pamoja na watu maalum walioalikwa katika uzinduzi huo uliofanyika katika moja ya nyumba za makumbusho ya Taifa.

  Lengo la tamasha hilo pia lililenga kusaidia kuimarisha afya za watoto.

Post a Comment

AddThis

Top