0


Kwenye Wimbo huu, PATIENCE IBEMBO PATCHANGA kashutumu tabia ya Baadhi ya MASHOGA zake wenye Wivu
Uyakaki na Ndaku osengi nga Mayi, nzoka na sima otielaka EDDY Motema / Waja Nyumbani kwangu, Nakukaribisha, Waniomba nikupe Maji ya kunywa, Kumbe Moyo wako Upo kwa MME WANGU EDDY.
Tafadhali Kabisa Wewe Rafiki wauongo, Mimi na EDDY tupo Hadi Mwisho wa maisha yetu
Kuna Siku nimemuhadithia SHOGA yangu kama EDDY kanipiga, yeye kanipa Ushauri mbaya ni achane naye, kumbe keshasuka mikakati yake ili mimi niondoke  yeye anichukulie Mme Wangu.
SHOGA yangu Wivu wampita, SHOGA yangu mwenye Tamaa, ndo kwamaana kila siku ulikua ukiniletea Maneno yako ya Umbea, Kumbe !!!
FERRE GOLA : Tango Ozali na Bolingo yebaka kobomba sekele ya libala / WAKATI UPO KWENYE MAISHA YA NDOA, JITAHIDINI KUTOZITOA SIRI ZA NDANI
Bakabolaka Motema te Moninga awa ,Sala tuu Ozua oyo akoki nayo / PENZI HUAGA LA MTU MMOJA, JARIBU KUMTAFUTA WAKWAKO ATAKAE KUPENDA
PENZI LETU MIMI NA EDDY NI LA MILELE
Ba Masta Mosinzo Boluka Oyo ya Bino  / WASHIKAJI MATAPELI, WATAFUTENI WAKWENU WATAKAO WAPENDA

Post a Comment

AddThis

 
Top