KOFFI OLOMIDE, KASHIKA NAMBA 20 KATI YA WATU 40 WALIO NA USHAWISHI MKUBWA BARANI AFRICA
Huu ndo Ujumbe wake kwa Wale Wote Wampendae :
Pokeeni Salaam zangu, Naongea Nanyi kama Rafiki, wala sio kwa Sababu mimi Ni Mtu wa Ishirini Barani Africa kati ya wale ambao walio na Ushawishi Mkubwa sana.Nawahusia Nyote Msikose kabisa kututizama kupitia kituo cha TV RTNC Kipindi cha » BAKOLO MINDULE » Kazi iwe nyingi kuzidi Maneno.
Nawashukuruni Nyote Mlionipongeza kutokana na Utafiti wa FORBES MAGAZINE,Kuniteuwa kama Mtu wa ishirini Mwenye Ushawishi Mkubwa sana Barani Africa, Nafikiri Ichini kwetu CONGO ntakua wa Kwanza, Inchi niipendayo sana.Ntabakikua jinsi nilivyo, Ntaonyesha Busara, na Natoa ahadi kwamba ntajitahidi ili Nafasi yangu hii niitumie kwa Manufaa ya Wengi.
ORODHA YA WATU 40 WALIO NA USHAWISHI MKUBWA BARANI AFRICA KAMA ILIVYO TOLEWA NA FORBES :
1. CHINUA ACHEBE , UMRI MIAKA 80, Novelist ( NIGERIA )
2. YOUSSOU N’DOUR , 55 , Musician, ( SENEGAL )
3. DIDIER DROGBA , 33 , Footballer ( COTE D’IVOIRE )
4. ANGELIQUE KIDJO , 51 , Musician ( BENIN REPUBLIC )
5. AKON , 38 , Musician ( SENEGAL )
6. WOLE SOYINKA , 77 , Pylaywright ( NIGERIA )
7. SELIF KEITA , 62 , Musician ( MALI )
8. YVONNE CHAKA CHAKA , 66 , Musician ( SOUTH AFRICA )
9. OUMOU SANG , 43 , Musician ( MALI )
10. FEMI KUTI , 52 , Musician ( NIGERIA )
11. TOUMANI DIABATE , 49 , Musician ( MALI )
12. OLIVER MTUKUDZI , 62 , Musician ( ZIMBABWE )
13. HAILE GEBRESELASSIE , 41 , Athlete ( ETHIOPIA )
14. KHALED HADJ IBRAHIM , 51 , Musician ( ALGERIA )
15. SAMUEL ETO’O , 33 , Footballer ( CAMEROON )
16. ALEK WEK , 37 , Supermodel ( SUDAN )
17. LIYA KABEDE , 36 , Supermodel ( ETHIOPIA )
18. DOBET GNAHORE , 32 , Musician ( COTE D’IVOIRE )
19. GENEVIEVE NNAJI , 35 , Actress ( NIGERIA )
20. KOFFI OLOMIDE , 58 , Musician ( CONGO DRC )
21. NEILL BLOMKAMP , 35 , Mouvie Director ( SOUTH AFRICA )
22. SOUAD MASSI , 42 , Musician ( ALGERIA )
23. BAABA MAAL , 60 , Musician ( SENEGAL )
24. HUGH MASEKELA , 75 , Musician ( SOUTH AFRICA )
25. K’NAAN , 36 , Rapper ( SOMALIA )
26. AMADOU and MARIAM , 60 – 56 Musician ( MALI )
27. AWILO LONGOMBA , Musician ( CONGO DRC )
28. ERIC WAINAINA , 40 , Athlete ( KENYA )
29. BINYAVANGA WAINAINA , 43 , Author ( KENYA )
30. NGUGI WA THIONG’O , 76 , Author ( KENYA )
31. FRESHLYGROUND , Musician ( SOUTH AFRICA )
32. CHIMAMANDA ADICHIE , 37 , Writer ( NIGERIA )
33. ROKIA TRAORE , 40 , Musician ( MALI )
34. 2FACE IBIDIA , 39 , Musician ( NIGERIA )
35. P-SQUARE , 29 , Musician ( NIGERIA )
36. DON JAZZY , 31 ,Music Producer ( NIGERIA )
37. D’BANJ , 34 , Musician ( NIGERIA )
38. NNEKA , 33 , Musician ( NIGERIA )
39. ASA , 32 , Musician ( NIGERIA )
40. PATRICIA AMIRA ,TV Personnality ( KENYA )
Post a Comment