JIKUMBUSHE KOFFI KWENYE MSIBA WA BABI WATU WALIVYOZIMIA
ILIKUA HUZUNI SANA JANA WAKATI WATU WAKIMTOLEA BABIA NDONGA CHOKORO HESHIMA ZAO ZA MWISHO.
HALI YA MAJONZI ILIDHIHIRIKA NYUSONI MWA WATU PALE TUU KOFFI OLOMIDE ALIPO WASILI SEHEMU ILIPO TAYARISHWA SANDUKU LA MAREHEMU.
WATU WALIANGUA KILIO NA MAYOWE HADI WENGINE KUZIMIA.
Post a Comment