0



INGAWA KATIKA KIPINDI CHA TAKRIBAN MIAKA 20 WAKATI ALIPO JIUNGA NA GROUP QUARTIER LATIN INTERNATIONAL,
KUTOKANA NA SABABU MBALIMBALI,  » BABIA NDONGA CHOKORO  » KAFAANIKIWA KUWEKA WIMBO MOJA  » AMEN  » UNAOPATIKANA KWENYE ALBUM  » MAGIE « .
MIAKA MITATU SASA BABIA NDONGA ALIKUA AKIPIGANISHA KWA HALI NA MALI ILI ALBUM YAKE  » VRAI MOMENT « .ITOLEWE RASMI .

KUTOKANA NA HALI NGUMU SIKU HIZI KWENYE MUZIKI WA CONGO, WALA HAJAMPATA PRODUCER WAUHAKIKA AMBAE ANGEFAANIKISHA KUTOLEWA KWA ALBUM HIYO.
BASI TUTAENDELEA KUMKUMBUKA MWIMBAJI MAHIRI ALIEKUA BABIA NDONGA CHOKORO, AMBAE KAIAGA DUNIA TAREHE 08-10-2014 INCHINI ANGOLA.

BURUDIKENI NA WIMBO WAKE PEKEE  » TODJALI  »  KATI YA SITA, ZILIZOKUA ZIKITARAJIWA KUWEMO KWENYE ALBUM  » VRAI MOMENT «

Post a Comment

AddThis

 
Top