0



Mwili wa Mwanamuziki BABIA NDONGA aliefariki Tarehe 08-10-2014 Inchini ANGOLA yawasili JIJINI KINSHASA.

Hali ya Huzuni na Majonzi ilionekana kwenye Nyuso za Watu Wengi walio jitokeza kupokea Sanduku ya Mauti yake ilipo wasili Jijini humo.

BABIA NDONGA CHOKORO, kajiunga na Group Quartier Latin Tokea Mwaka 1993 hadi Mwaka 2001. akaja kujiunga tena na Group hilo 2003 mpaka Mwaka 2011. Ndipo kaamua kua Solo Artist.

Atakumbukwa sana Uchangiaji wake kwenye Album  » MAGIE  » Iliyo Tolewa Mwaka 1994. uliyopendwa sana

Post a Comment

AddThis

 
Top