0


 Bwana mdogo Romeo ,12, mtoto wa nyota David Bekcham na mkewe Victoria ameamua mapema kuanza kazi ya uanamitindo.

Ingawa amekuwa akicheza soka, lakini siku za hivi karibuni Romeo amejikita kwenye uanamitindo, kazi anayoifanya zaidi mama yake.
Ingawa mama yake alianza kutamba kwenye muziki zaidi akiwa na kundi la Spice Girls, baadaye aliamua kuzamia zaidi kwenye mitindo na mara kadhaa amekuwa akimshawishi muewe pia kuingia.
Kama atanaogewa zaidi, huenda Romeo akakita nguvu zaidi kwenye mitindo badala ya soka.
 

Post a Comment

AddThis

 
Top