WATANZANIA WALIVYOFUNIKA UZINDUZI WA BIG BROTHER HOTSHOTS
Watanzania Laveda, Idris na Diamond wakipiga shoo katika uzinduzi wa Shindano la Big Brother Hotshots nchini Afrika Kusini Oktoba 5, 2014. Laveda na Idris ni washiriki wa shindano hilo wakati Diamond Platnumz alikwenda kwa ajili ya kutumbuiza.
Post a Comment