TANZIA: MSANII RICHIE AFIWA NA BABA YAKE MZAZI 6:49 AM Neema jua 0 A+ A- Print Email Single Mtambalike 'Richie'.MSANII wa maigizo na filamu nchini, Single Mtambalike maarufu kwa jina la Richie, amefiwa na baba yake mzazi Mzee Mtambalike usiku wa kuamkia leo, msiba upo Tabata, Dar. Mtandao huu unatoa pole kwa msanii Richie!
Post a Comment