VIDEO YA WERRASON KAWASILI JIJINI PARIS JANA
TIZAMA VIDEO YA WERRASON AKIPOKELEWA KWENYE UWANJA WA NDEGE WA CHARLES DE GAULE JIJINI PARIS,AKITOKEA MAREKANI.
KAMA TULIVYO WATAARIFU SIKU ZILIZO PITA, WERRASON ANATARAJIA KUONDOKA JIJINI PARIS JUMAMOSI IJAYO AKIELEKEA KINSHASA AMBAKO ANASUBIRIWA KWA HAMU KUBWA NA WAPENZI WAKE.
KWAUKUMBUSHO, WERRASON LE ROI DE LA FORET KAPEWA TUZO MBILI KWENYE SHINDANO LA NAFCA Mjini ((Beverly Hills California). Tarehe 13-09-2014. ( MSANII BORA WA AFRICA, GENERIC MALEWA IKAPEWA TUZO LA GENERIC BORA ).
Post a Comment