0
Stori: Gabriel Ng’osha
MKONGWE katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’ amefunguka kuwa yeye si mwanasiasa hivyo hawezi kuzungumza chochote juu ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa). Akijibu swali la mwandishi wetu baada ya kuulizwa anazungumziaje kitendo cha Ukawa kusaini makubaliano ya kusimamisha


Mkongwe katika filamu za Bongo, Ahmed Ollutu ‘Mzee Chillo’.
mgombea mmoja mmoja kuanzia ngazi ya serikali za mitaa mpaka uchaguzi wa urais utakaofanyika mwakani alisema: “Mimi siyo mwanasiasa, huwa nafuatilia kujua wamezungumza nini, tena siyo sana kisha naachana nao, niulize kuhusu sanaa, hata kama niko usingizini nitakujibu kwa sababu ndiyo kazi yangu,’’ alisema Mzee Chillo.

Post a Comment

AddThis

 
Top