0

ALBUM BANDE D’ANNONCE

ZAIKO  LANGA LANGA  yabaki Bendi Bora Inchini Congo na Hata Africa Nzima, Group Mama iliodhihirisha vipaji vya Wasanii walio wengi,na bado ipo imara hadi leo hii baada ya takriban Miaka 40 tokea ianzishwe,Ingawa Baadhi ya Wasanii wakiwepo pia  Waandishi wa Habari wanashindwa kukubaliana na hilo nakuzipa kipaumbele Group nyingine zilizo jaa na khashfa na malumbano kila siku.
Hongera Kwako Ya JOSSART NYOKA LONGO,kwakuendelea kutuletea Furaha na kuzidi kuimarisha kikosi cha Group na Vijana walio jaa na vipaji na wenye kujiheshemu

Post a Comment

AddThis

 
Top