0

VIDEO ya WERRASON NGIAMA MAKANDA, akipokea Tuzo mbili JIJINI ((Beverly Hills California).INCHINI  AMERICA . Tuzo la kwanza kapewa WERRASON palealipo chaguliwa kama MWANAMUZIKI BORA WA AFRICA, na Tuzo lapili kapewa kutokana na GENERIC ya ALBUM TECHNO MALEWA kuteuliwa kama Bora zaidi AFRICA.
Kwenye Video hii, Mtamuona WERRASON akiwa Jukwaani nakufanya SHOO huku akisaidiwa na HERITIER WATANABE na SANKARA DE KUNTA.
WERRASON katoa shukrani zake kwa wote ambao wanaendelea kumsapoti.

Post a Comment

AddThis

 
Top