0
Tabasamu: Radamel Falcao anaishi katika hoteli ya Lowry Hotel  kufuatia kujiunga na Manchester United


NYOTA wa Manchester United waliosajiliwa majira ya kiangazi mwaka huu wana matumaini ya kutulia zaidi katika maisha ya ligi kuu England wakati huu wakitafuta sehemu za kuishi watakazotangaza wiki zijazo.
Kwasasa, Radamel Falcao, Angel di Maria, Daley Blind, Ander Herrera, Luke Shaw na Marcos Rojo wanaishi katika hoteli moja ya kifahari ya Lowry Hotel iliyopo mjini Manchester.

- Nyota watano: Marcos Rojo (kushoto) ni miongoni mwa wachezaji watano waliosajiliwa majira ya kiangazi ili kuimarisha kikosi cha United
The Lowry Hotel ni sehemu tulivu mno mjini Manchester
Kazi kama kawaida: Wachezaji wapya wa Manchester United wanaweza kulipa paundi 600 kwa mwaka wakiishi katika Gym ya Hotel ya  Lowry


Chumba cha kulala katika hoteli hiyo.

Post a Comment

AddThis

 
Top