0


 Tabasamu! Neymar aliungana na Oscar (kushoto), David Luiz na Alex baada ya Dunga kutangaza taarifa hiyo.

Dunga aliwaambia waandishi wa habari  katika mkutano uliofanyika Mandarin Oriental mjini Miami: “Tayari imeamuriwa, Neymar ndiye nahodha”.
“Neymar amekubali majukumu haya vizuri kabisa. Ni mchezaji anayependa changamoto na anapenda kushinda. Tulizungumza naye kuhudu hilo na tulimwambia tunachokitaka.
Aliongeza: “Ni mchezaji mwenye sifa zote, licha ya umri wake ana uzoefu. Nahodha anatakiwa kuwaongoza wenzake”

Post a Comment

AddThis

 
Top