MANCHESTER United wamekuwa wakitumia fedha kama ‘vichaa’ tangu msimu uliopita. Pia wamekuwa sugu katika matumizi ya hali ya juu kwa wakati wote.
Tangu msimu uliopita wametumia fedha zinazokadiriwa kufikia paundi milioni 218. Ni kiwango kikubwa mno cha fedha.
Hawajaacha tabia hii na matumizi yao halisi mpaka sasa ni paundi milioni 185. Hiki ni kiwango cha juu kuliko klabu yoyote ya ligi kuu ndani ya muda kama huo. Kiukweli dirisha la usajili kwa United limevunja rekodi.
Mitandao ya kijamii imechanganyikiwa na inaikosoa United kwa matumizi makubwa. Wengine wameenda mbali kwa kuifananisha United na Manchester City au Chelsea. Matumizi ni makubwa, lakini kuifananisha na klabu hizo sio haki.
Manchester United wanaweza kutumia zaidi kwasababu wamejijenge vizuri katika mfumo wao wa soka la vijana (The Class of 92). Wakati huo United ikiwa chini ya Sir Alex Ferguson ilijijenga kuwa klabu yenye nguvu zaidi kifedha duniani.
Hizi ndizo fedha wanazoweza kutumia. United imeingia mikataba mikubwa na Adidas, Chevrolet na kadhalika. Na hii ndio inawafanya wawe na uwezo mkubwa wa fedha na mapato yao yanawafanya watumie fedha nyingi.
Wakati ambao Chelsea na City walitumia fedha nyingi hawakuwa na mapato makubwa na matumizi yale yaliwapatia kadi nyekundu. Kutoka hapo Cheslea na City wamekuwa na tahadhari kubwa katika matumizi ya fedha.
United wanaweza kutumia fedha nyingi kwasababu mapato yao ni makunwa, kwa muda mrefu wamekuwa katika klabu nne za juu na wamekuwa na mapato makubwa. Mafanikio haya yamewafanya watumie fedha nyingi.
Matumizi yao ni tofauti kabisa na ya Chelsea na City. Umwamba wao katika mapato unawafanya wawe na uwezo mkubwa wa kifedha.
Ni matumizi mabaya?. Si sababu ya kimpira zaidi, lakini sio matumizi mabaya. United wamejijenga kwa muda mrefu. Chelsea imekuwa timu kubwa ndani ya miaka 10 iliyopita, shukurani kwa Roman Abramovich.
Kama United hawataingia timu nne za juu msimu huu litakuwa tatizo kwao. Kwa sasa matumizi yao yanafahamika, yawezekana ni mazuri ingawa ni makubwa sana.
- See more at: http://shaffihdauda.com/?p=5698#sthash.8MBqqxuk.dpuf MANCHESTER United wamekuwa wakitumia fedha kama ‘vichaa’ tangu msimu uliopita. Pia wamekuwa sugu katika matumizi ya hali ya juu kwa wakati wote.

MANCHESTERUnited wamekuwa wakitumia fedha kama ‘vichaa’ tangu msimu uliopita. Pia wamekuwa sugu katika matumizi ya hali ya juu kwa wakati wote.

ManchesterUnited wanaweza kutumia zaidi kwasababu wamejijenge vizuri katika mfumo wao wa soka la vijana (The Class of 92). Wakati huo United ikiwa chini ya Sir Alex Ferguson ilijijenga kuwa klabu yenye nguvu zaidi kifedha duniani.

KamaUnited hawataingia timu nne za juu msimu huu litakuwa tatizo kwao. Kwa sasa matumizi yao yanafahamika, yawezekana ni mazuri ingawa ni makubwa sana.

Post a Comment