0



Kama alivyo tamka Mwenyewe JB MPIANA PAPA CHERI MOTO PAMBA, Album ” LES FEUX DE L’AMOUR ” yaendelea kumletea kipato hadi leo, wala hawezi kufa na Njaa. Album iliopokelewa vizuri sana na kupewa tuzo kadhaa !!!
Leo hii nagusia kidogo Generic ” NDOMBOLO ” iliochezesha Ulimwengu Mzima.Nakulipa jina Muziki wa Congo!!!
Izingatiwe kwamba Ingawa Mzozo wa chini kwa chini ulikuwepo tayari kwenye Group WENGE MUSICA ASILIA, Ujio wa Album Solo ya JB MPIANA ” LES FEUX DE L’AMOUR ” ulidhihirisha kutoweka kwa maelewano kati ya Viongozi wa Group hilo. Hadi pale Orchestra WENGE MUSICA 4×4 Kusambaratika Mwaka 1997.
Staff ya Waimbaji ilikua kama ifwatayo :
    • JB Mpiana
    • Werrason
    • Blaise Bula
    • Adolphe Dominguez
    • Alain Mpela
    • Aimelia Liass
  • Ma reppa walikua :
    • Tutu Caludji
    • Roberto Wunda
  • kwenye Gita Mtawakuta :
    • Alain Makaba
    • Ficarré Mwamba
    • Burkina Faso Mboka Liya
    • Japonais Kambuku Maladi
    • Fiston Zamuangana Savimpi
    • Patient Kusangila
  • Bass Guitar:
    • Didier Massela
    • Christian Mwepu
  • Percussion:
    • Ali Mbonda
  • Kwenye Bettry :
    • Titina Mbwinga
*** Walichangia pia kutokana na Mualiko rasmi Waimbaji :
  • Papa Wemba  na Mimi Ciel
Mwishowe kwenye Synthesizer walikuwepo :
  • Al Nzimbi
  • Thierry Galion

Post a Comment

AddThis

 
Top