0
Kipindi cha kutafuta vipaji cha America’s Got Talent kimepata mshindi wa awamu ya tisa. Show hii inayorushwa NBC imetoa mshindi wa tisa ambaye ni Mat Franco. Kijana huyu ameweza kumshinda mpinzani wake aliyetegemewa kushinda Emily West. Franco ameshinda dola milioni moja na atafanya show kwenye tamasha la America’s Got Talent mjini Las Vegas. Mat alisema ushindi wake ni “Un-freaking believable.”

Post a Comment

AddThis

 
Top