JB MPIANA aMEKWENDA KUMJULIA HALI RAFIKI YAKE WERRASON, KUTOKANA NA MSIBA WA KATIBU MKUU WA FOUNDATION WERRASON, HUGUES KITAMBALA. KIFO KILIO TOKEA TAREHE 26 – 06 – 2014, KWENYE UKUMBI WA ZAMBA PLAYA JIJINI KINSHASA.
PICHANI HAPO NI NYUMBANI KWAKE WERRASON.
WEKENI USHABIKI MBALI, JAMAA HAWA NI MARAFIKI. MASWALA MENGINE NIYA KIBISHARA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment