Mwanamke anayejulikana kama LIV ametumia mdundo wa wimbo wa OutKast ‘Ms Jackson’ kuimba wimbo wa ‘Sorry Mrs.Carter’ kutuma ujumbe kwa familia ya Jay Z na Beyonce ‘The Carters’ kuwa Jay z aliwahi kumuomba namba yake ya simu na kwamba alitaka awe mpenzi wake. Kwenye wimbo huu alioufanyia mpaka video anamchana Beyonce kuhusu stori za magazeti na kuongelea wanawake wengine asiowafahamu.
Home
»
» Unlabelled
» ANASEMA ALITONGOZWA NA JAY ZEE AKAMKATAA MWANAMKE HUYU SASA KAMWAIMBIA WIMBO HUU HAPA,KACHANA SANA BEYONCE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment