Amber Rose Kwenye Video Ya Kanye West’Robocop’
Imeripotiwa kuwa kabla rapper Kanye West hajarekodi video ya Bound 2 aliyomweka mke wake Kim Kardashian kama video model alisha rekodi video ya “Robocop” ambayo yupo Amber Rose ila mpaka sasa haikuwahi kuonekana.
Mwaka 2010, Kanye ambaye alikuwa anamahusiano na Amber Rose alisema Amber atakuwa star kwenye video ya “Robocop” kutoka kwenye album yake ya 808s & Heartbreaks.
Sasa baada ya miaka minne ,harusi mbili, Kanye West ametoa video hii inayomwonyesha Amber akiwa kama Robot.
Post a Comment