Mchezaji wa klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Neymar anaendelea kuuguza majeraha aliyopata kwenye mchezo wa kombe la dunia dhidi Colombia kwenye robo fainali.
Hizi picha zinamuonyesha akiwa kwenye mapumziko mafupi na mpenzi wake Bruna Marquezine huko Hispania. Wapenzi hawa walikuwa kwenye fukwe za Formantera na Neymar anaonekana bado amefungwa kitu cha kumsaidia kushika na kunyoosha mgongo anaposimama na kukaa.
Home
»
» Unlabelled
» NEYMAR ANAENDELEA KUUGUZA MAJERAHA ALIYOYAPATA KWENYE KOMBE LA DUNIA,HAPA YUPO BEACH NA BABY WAKE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment