Rihanna alipost picha IG akiwa hana nguo ya juu, na zingine akiwa hana kabisa, siku ja jana (juma nne) kutoka kwenye photo shoot yake na gazeti la LUI (French skin magazine) na baada ya saa moja IG wakazipiga chini, kwasababu zimevunja sheria dhidi ya utupu.
chanzo kilichokaribu na Insta Gram kiliiambia TMZ kuwa Rihhana alipokea email ambayo ilimuonya "Vaa nguo au hatarisha kufungiwa kwa akaunti yako ya InstaGram milele. lakini licha ya onyo hilo, IG wameshindwa kumzuia, maana alizitupia picha zote kupitia akaunti yake ya twitter https://twitter.com/rihanna/media
Post a Comment