Kale ka mchezo ka watu kuvujisha nyimbo za wasanii kwenye mitandao tena zikiwa hazijakamika kamemkuta tena Msanii Diamond Platnumz.
Wimbo wa Diamond unaoitwa Kitorondo umevuja na kusabaa kwa kasi kupitia blogs mbali mbali pamoja na mitandao ya kijamii. hiki ndicho alichokisema
Post a Comment