0
Baada ya msanii Gnako  (Weusi) kufanya callable nyingi sana za kishkaji (bila kulipwa) na wasanii mbali mbali huku nyingi zikifanya vizuri hasa hasa akisimama kwenye chorus, kuanzia sasa ameamua kwenda kibiashara zaidi, na kwa yeyote atakaetaka callable nae basi mtaongea bishara

"Hii sasa hivi imeshakuwa ni  biashara, nafkiri wakinipigia sasa hivi tutaongea biashara, hatutaongea tena mambo ya kishkaji, maana nimeshafanya nyimbo nyingiiii za kishkaji kwahiyo tutakuwa tunafanya biashara, nimepiga nyimbo nyingi sana mwanangu, for love ambayo ninayo na for the love of the industry, nimepiga nyingi trust me.." amesema warawara

Post a Comment

AddThis

 
Top