0

Mtengenezaji wa Blogs mbali mbali Nchini Tanzania Injia Msofe asubuhi ya leo jumanne atembelea ofisi za radio mwangaza fm na kuongea na Mkurugenzi wa radio mwangazaambaye ni Makamu wa Askofu Jimbo katoliki Dodoma Padre Chesco Peter Msaga na vile vile kuongea na wafanyakazi wa radioMwangaza kuhusu maswala mbali mbali ya ku update Blog


Mbali ya kuwa elimu yake ameipatia Europe lakini amesema kuwa anawajali watanzania wenzake na anajisikia fahari kufanya kazi hizi na watanzania

Injinia Msofe amefika Radio Mwangaza kwa mualiko maalumu akiwa anajiandaa na safari ya kwenda Malaysia
Injia Msofe pia ndiye muaandaji wa blog hii 
Kushoto Injia Msofe muaandaji wa Blogs Nchini Tanzania (Blog Creater) na mtengeneazji wa blog hii www.neemajua.blogspot.com na kulia ni mmiliki wa blog hii Neema Jua Goyayi
Kushoto Injia Msofe (Blog Creater) kulia mmiliki wa blog hii Neema Jua Goyayi nje ya Studio za Radio Mwangaza Fm

Post a Comment

AddThis

 
Top